Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewataka Wakulima waache kuuza mazao kwa madalali na badala yake watumie mfumo stakabadhi ghalini ambao umewekwa na Serikali
Kanali Thomas ameyazungumza hayo katika ziara yake aliyoifanya hivi karibuni Wilaya Namtumbo, amesema sasa ni wakati wa mkulima kutambua thamani ya kile alichokilima hivyo wasikubari kuhuza njee ya mfumo wa stakabadhi ghalani
“Kilimo hakijawai kumtupa mtu msikubari kuibiwa kipindi hiki cha mavuno wapo watu watawadanganya kwa kudhani kilimo ni rahisi kiasi hicho wote tumesikia hivi majuzi minada miwili iliyofanyika wakulima wa ufuta wamepata bei nzuri kama mkuu wenu wa Mkoa na wahimiza tumieni mfumo huu wa stakabadhi ghalani”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.