Sekondari mpya ya Kungu kata ya Nakayaya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ni miongoni mwa sekondari mpya 11 zilizojengwa mkoani Ruvuma.na serikali ya Awamu ya Sita kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP).Sekondari hii yenye mazingira ya kuvutia imegharimu shilingi milioni 470
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.