Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imeendelea kupata hati safi kwa miaka mitano mfululizo.
Hayo yamesemwa katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikali pamoja na hoja za ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sky way mjini Tunduru kimehudhuriwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.