Ni muhimu wananchi kujitokeza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Ushiriki wetu ni njia mojawapo ya kuimarisha demokrasia na kuhakikisha sauti zetu zinaskika. Kila kura ni muhimu, na inachangia katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii zetu. Hivyo, tukumbushane na kuwahimiza wengine kujitokeza na kushiriki katika mchakato huu wa uchaguzi. Kwa pamoja tunaweza kuunda mazingira bora kwa maendeleo ya Taifa letu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.