Ushoroba wa wanyamapori wa Selous-Niassa unapita katika wilaya mbili za Mkoa wa Ruvuma ambazo ni Namtumbo na Tunduru.Ushoroba huu ambao ni mrefu kuliko yote duniani ni moja ya kivutio cha kipekee duniani kwa sababu unatajwa kuendelea hadi kusini mwa Afrika.Tazama habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=eWAQHlG6lH8&t=11s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.