MKUU wa Mkoa wa Ruvuma ametoa rai kwa wananchi mkoani Ruvuma kujiunga na Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF iliyoboreshwa) ambayo unawezesha kaya ya watu sita kutimiwa kwa mwaka mmoja kwa gharama ya shilingi 30,000 tu ambayo humwezesha aliyejiunga kutibiwa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya kuanzia zahanati hadi hospitali ya Rufaa.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=xQ1m7lBoIGI&t=12s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.