MKUU wa Mkoa wa Ruvuma ametembelea na kukagua mradi wa daraja la Ruhuhu lenye urefu wa meta 98 linalounganisha Mkoa wa Ruvuma kupitia Wilaya ya Nyasa na Mkoa wa Njombe kupitia Wilaya ya Ludewa ujenzi wake umefikia asilimia 85.Licha ya kwamba mradi huo hivi sasa umesimama kutokana na kufurika kwa mto Ruvuma,Mndeme ameagiza TANROADS kuhakikisha kuwa mvua zikipungua Mkandarasi akamilishe nguzo moja iliyobaki kwa kuwa mradi umechukua muda mrefu kinyume na mkataba
SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=vbxnpuwgDZE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.