• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

UJENZI wa stendi mpya ya mabasi Lundusi Peramiho kuanza

Imewekwa kuanzia tarehe: September 8th, 2023

Serikali  ya Awamu  ya Sita inayoongizwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan inatarajia kuanza ujenzi wa stendi  ya Magari (Mabasi) katika Kijiji cha Lundusi  Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma. Stendi hiyo itakayogharimu kiasi cha Shiling Milioni 434,657,802.68, inatarajia  kuanza kujengwa baada ya uzinduzi utakaofanyika tarehe 15/09/2023.

Akizungumzia mradi huo Mhandisi wa Halmashuri ya Wilaya ya Songea Flora Tairo amesema wamepokea kiasi hicho cha fedha kupitia TASAF kwaajili ya utekelezaji wa mradi huo ambao lengo kubwa ni kusaidia wananchi wa kijiji cha Lundusi na vijiji jirani katika kuondoa changamoto za usafiri.

"Stendi hii imegawanyika katika maeneo matano ya utekelezaji ambayo ni -; sehemu ya kupaki magari, Ujenzi wa Pelving blocks, Ujenzi ufungaji wa taa pamoja na ujenzi wa maduka, ambapo maduka yatakuwa katika sehemu mbili (side A na side B)".

"Hatua za utekelezaji wa mradi, tulianza na uibuaji wa mradi, tukaja uhakiki wa mizani, pia tukafanya uhakiki wa eneo la mradi, tukafanya uhidhinishaji wa maombi ya fedha za mradi na utafuata uzinduzi wa mradi na utekelezaji wa mradi kwa sasa tupo hatua hii ya utekelezaji wa mradi ambapo mradi wetu upo katika hatua za awali za ujenzi huo ambapo sasa ni usafishaji wa eneo (site clearance) baada ya hapo kutakuwa na utekelezaji wa miundombinu katika stendi yetu baada ya utekelezaji wa mradi tutakuwa na kukamilika kwa mradi baada ya kumaliza mradi wa miundombinu kutakuwa na cheti cha umalizaji wa mradi na ufunguzi wa mradi huo". Flora Tairo  Mhandisi wa Halmashuri

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndg. Neema M Maghembe ameeleza namna mradi huu utaweza kuwanufaisha wananchi wa kijiji cha Lundusi na vijiji jirani ambao watatumia stendi hiyo pindi itakapo kamilika vilevile ameishukuru Serikali kwa kuweza kuwapatia fedha za mradi, amapo amesema.

" Katika mapokezi ya fedha hizi, kwanza kabisa tunampongeza  Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anazozifanya pia tunamshukuru kwa kutuletea fedha hizi kwaajili ya utekelezaji wa mradi huu wa stendi na miundombinu mingine katika Halmashauri yetu, Tunamshukuru pia Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mh Jenista Joakim Mhagama  kwa ufuatiliaji mzuri na kazi nyingi anazozifanya katika Jimbo lake, Mkurugenzi wa TASAF Makao Makuu, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ushari na ufuatiliaji wake, Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mwenywekiti wa Halmashuri ya Wilaya ya Songea Mhe. Menans Komba na baraza lote la Madiwani na timu ya wataalamu katika usimamizi wa utekelezaji wa miundombinu hii bila kusahau Chama Cha Mapinduzi kwa mchango wake mkubwa katika Halmashauri yetu ya  Wilaya ya Songea"

“Nasi tunawaahidi kushirikiana vyema na kamati zote zilizopo hapa katika utekelezaji wa mradi huu ambao utaenda kunufaisha watu wengi sana   ili kuhakikisha kwamba fedha hizi zilizoletwa na Mheshimiwa  Raisi  kupitia TASAF zinaenda kufanya kazi iliyokusudiwa”

Aidha uzinduzi wa mradi huu unatakiwa kufanyika Tarehe 15 September 2023 kwani utekelezaji wa miradi ya miundombinu kupitia TASAF huanza kwa zoezi la uzinduzi kabla ya  utekelezaji wa mradi kwa Lengo la kuwapa wananchi taarifa ya mradi na hamasa juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya stendi katika Kijiji cha Lundusi.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.