Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki ikiendelea na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.
Hapa ni mradi wa ujenzi waKata ya Tuwemacho ambapo serikali imetoa shilingi milioni 50 kutekeleza mradi huo ambao umefikia asilimia 85
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.