Mwenge wa Uhuru umeridhia kuweka jiwe la msingi mradi wa barabara za lami katika mji wa Namtumbo mkoani Ruvuma ambazo serikali kupitia TARURA imetumia zaidi ya shilingi milioni 800 kutekeleza mradi huo ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava ameridhia kuweka jiwe la msingi barabara hiyo baada ya kuridhika na kazi nzuri ilifanywa na TARURA wakati wa utekelezaji wa mradi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.