mradi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma,mradi ambao unatekelezwa katika eneo la Mwengemshindo Manispaa ya Songea ambapo serikali imetenga shilingi bilioni nne kutekeleza mradi huo uliofikia asilimia 75
Mradi wa jengo la huduma za mionzi katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma,jengo hilo ambalo limefingwa mashine za kisasa za XRAY na CT Sacan limekamilika kwa asilimia 100 na limeanza kutoa huduma kwa wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.