Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nyepesi kutoka Seedfarm hadi Kuchile Manipaa ya Songea yenye urefu wa kilometa 3.5 , mradi unatekelezwa kupitia fedha za mfuko wa barabara zaidi ya shilingi milioni 389 .
Mkuu wa Mkoa ameridhishwa na utekelezaji wa mradi huo hata hivyo ameagiza kufanyika usafi wa mara kwa mara kwenye maeneo ya barabara na kuwataka TARURA kuweka taa za barabarani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.