Juma Mwanga Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya za Songea na Namtumbo (SONAMCU) akizungumza kwenye Jukwaa la Maendeleo ya Ushirika Mkoa wa Ruvuma ambapo alishauri uwekezaji mkubwa wa mbolea ya ruzuku katika zao la tumbaku ambalo katika msimu wa mwaka 2022/2023 katika Mkoa wa Ruvuma ziliuzwa tani 5.5 ambazo ziliwaingizia wakulima shilingi bilioni 1.55.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.