Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeboresha Sekta ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kwa kujenga hospitali ya Halmashauri na kuanza kutoa huduma za msingi za matatibu kwa wananchi hali ambayo imesaidia wananchi kupata huduma jirani na maeneo yao,pia serikali imenunua vifaa tiba vya kisasa vya hospitali hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.