Pichani ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Sterwat Nombo akiwasisitiza Madiwani na Wataalamu kusimamia sheria, kanuni na miongozo katika usimamizi wa fedha za miradi ili kuondoa mianya ya upotevu wa fedha pamoja na matumizi mabaya ya rasilimali ambayo usababisha kutokamilika kwa miradi na ulimbikizwaji wa madeni kwenye Halmashauri.
Wito huo ameutoa katika kikao cha baraza la madiwani cha robo ya pili ambacho kililenga kujadili taarifa za maendeleo ya Halmashauri hiyo na kuudhuliwa na waeshimiwa madiwani, wataalamu na viongozi mbalimbali katika ukumbu wa Ofisi ya Mkurugenzi Wilaya ya Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.