Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika tamasha la utamaduni la kitaifa la tatu ambalo linafanyika kwa siku nne katika uwanja wa Majimaji mjini Songea kuanzia Septemba 20 hadi 23 mwaka huu.
Mgeni rasmi kwenye ufungaji wa tamasha hilo Septemba 23 anatarajia kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa tamasha hilo Septemba 20 ni Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro
Kauli mbiu ya tamasha la mwaka huu ni Utamaduni wetu ni utu wetu tuuenzi na kuuendeleza
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.