• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

VIONGOZI wa Dini watakiwa kuzingatia sheria,uwajibikaji na uwazi

Imewekwa kuanzia tarehe: August 3rd, 2024

Na Gustaph Swai-RS Ruvuma

Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani  Emmanuel Kihampa ametoa wito kwa viongozi wa dini mkoa wa Ruvuma kuzingatia  sheria,uwajibikaji na uwazi katika shughuli  za uendeshaji wa Taasisi zao.

Kihampa ametoa rai hiyo wakati anatoa semina kwa viongozi wa Dini kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma kwenye ukumbi wa sekondari ya Songea Girls mjini Songea.

 Amewaasa mesisitiza kutoa taarifa kwa Mamlaka husika pale wanapotembelewa na wageni na kueleza kuwa baadhi ya taasisi za dini zinaweza kutoa mianya bila kujua kwa vitendo vya kigaidi na uhalifu.

Msajili  huyo amewaonya viongozi wa dini dhidi ya uanzishwaji holela wa vituo vya mafunzo ya kidini na kufafanua kuwa ni muhimu kufuata utaratibu wa kuanzisha vituo hivyo ili kulinda maadili na kuhakikisha mafunzo yanayotolewa yanawiana na dini husika na sheria za nchi.


"Taasisi za kidini ni muhimu kuzingatia maadili ya kazi za dini, kanuni na misingi ya Imani zenu na maadili ya Kitanzania, Ni jambo la kushangaza kiongozi wa dini kufanya vitendo visivyoendana na Mila na desturi za Kitanzania",alisisitiza.

Pamoja na hayo, Bw.Kihampa amewakumbusha viongozi wa dini umuhimu wa kuzingatia masharti ya usajili na matakwa ya sheria zote za nchi, na kusisitiza ushirikiano kati ya viongozi wa dini na vyombo vya serikali ili kudumisha amani na mshikamano.


Katika hatua nyingine Msajiri huyo ametoa onyo kali kwa viongozi wa dini kuhusu kutoa mahubiri yenye uchochezi wa kidini, kisiasa, au kikabila, ambapo amesisitiza viongozi wa dini wanapaswa kutumika kama wapatanishi na kuwaunganisha Watanzania, badala ya kuchochea migawanyiko.

 Msajili amezionya taasisi za kidini ambazo zitabainika kwenda kinyume na maadili au kuashiria uvunjifu wa amani zinaweza kuchukuliwa hatua kali, ikiwa ni pamoja na kufungiwa na mamlaka husika za serikali.


Ofisini ya Msajili wa Jumuiya za kiraia ipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwa na wajibu wa kusajili na kusimamia taasisi zote za kidini nchini.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.