MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema katika vita ya corona hivi sasa Mkoa wa Ruvuma unakwenda vizuri ambapo ameendelea kutoa rai kwa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya adui corona ambaye ameleta madhara makubwa ya kiafya na kiuchumi duniani kote.TAZAMA ZAIDI https://www.youtube.com/watch?v=Y5oOvXjjG6E
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.