Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Ruvuma Viktor Nyenza amesema katika Mkoa wa Ruvuma ni vituo 68 tu kati ya 138 vya kulelea watoto wadogo mchana vimesajiriwa.Nyenza alikuwa anazungumza wakati anafungua mafunzo ya wafanyakazi 56 wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana yanafanyika kwa siku tano kwenye ukumbi wa Kanisa Anglikana mjini SongeaNyenza ameagiza vituo vyote ambavyo havina sifa viwe vimesajiriwa hadi kufikia Januari 2024 vinginevyo vitafungwa kwa mujibu wa sheria.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.