Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameagiza vituo vyote vya afya vilivyokamilika na vyenye vifaa vianze kazi ya kutoa huduma za afya kwa wananchi.Kanali Thomas ametoa agizo hilo wakati anazungumza na wananchi wa Chiwindi wilaya Nyasa ambapo amesisitiza hakuna sababu ya vituo vya afya vilivyokamilka kutoanza kufanya kazi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.