Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Labani Elias Thomas, Agosti 31 mwaka huu amewasilisha michango ya awali ya Wadau wa Elimu Mkoa wa Ruvuma, yenye thamani ya Shilingi Bilioni 4.9 katika mkutano maalum wa GPE (Global Partnership for Education unaofanyika jijini Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Kikwete.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.