Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma stephen Ndaki, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mhe. Michael Mbano, Chifu wa kabila la Wangoni Emmanueli zulu Gama pamoja na Waandishi wa Habari wakati wa picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, yaliyofanyika Makumbusho ya taifa ya Majimaji Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Julai 25, 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.