Baadhi ya raia kutoka nchini Ujerumani ambao walishiriki kwenye uzinduzi wa chuo cha afya Litembo Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Uzinduzi wa chuo hicho umefanywa na Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel aliyemwakilishwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango.Chuo hicho kimejengwa na Kanisa katoliki Jimbo la Mbinga kwa gharama ya shilingi bilioni 2.5
Chuo hicho kinatoa mafunzo ya Stashahada za Utabibu,Maabara na Uuguzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.