Pichani kushoto ni Afisa Kilimo na Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru,Ndg, Morton Msowoya akiwahamasisha wakulima wa wilaya hiyo kujiandikisha kwaajili ya kupata pembejeo za kilimo ili kuajiandaa na kilimo katika msimu huu.
Akizungumza na wakulima katika kijiji cha Ligunga,Msowoya amesema kuwa serikali inaendelea kutoa pembejeo za kilimo kwa wakulima kwa ajili ya kuwawezesha kuzalisha mazao kwa wingi na kupata mavuno bora.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.