• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAKULIMA wa korosho Namtumbo waitaja changamoto ya kukauka mikorosho

Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2023

 WAKULIMA wa vijiji  vya Magazini,ligunga na lusewa wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma  wameeleza changamoto ya  kuwepo kwa ugonjwa wa kukauka majani ya miti ya mikorosho  na kuathiri mapato ya uzalishaji wa zao hilo.

Rashidi Ngunda na Daudi Hamisi wakulima wa Korosho kutoka kijiji cha Magazini  walisema kuna ugonjwa ambao unawashangaza  wakulima wa korosho wa kukauka majani ya miti ya mikorosho na kusababisha mikorosho kutotoa maua na kuathiri uzalishaji wa zao hilo.

Chande Makale meneja wa chama cha Msingi cha Magazini alidai ugonjwa wa kukauka kwa majani ya mikorosho  hupunguza uzalishaji wa zao hilo kutokana na wakati wa mikorosho kutoa maua majani ya mikorosho yanayotegemewa kutoa maua yanakuwa tayari yamisha kauka.

Hata hivyo bwana Makalealidai chama kupitia vikao mbalimbali vilipokea malalamiko ya wakulima kuhusu  majani ya mikorosho kukauka na kuliwasilisha jambo hilo kwenye bodi ya chama kikuu cha ushirika  TAMCU kilichopo wilaya ya Tunduru.

Makale alidai kodi ya  zao  la korosho inayokatwa wakati wa mauzo ya zao hilo ifanye hiyo kazi ya kuhudumia mikorosho inayokauka  majani bila ya kufahamika  tatizo la majani hayo kukauka na kusababisha uzalishaji hafifu.

Wakulima hao pamoja na mambo mengine wameishukuru serikali ya awamu ya sita ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa  na  Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku na kuiomba serikali hiyo wawasaidie dawa ya mikorosho katika mfumo wa ruzuku.

Stephen Nchimbi mhariri kutoka jukwaa la wahariri Nchini aliwaambia wakulima hao kuwa swala lao la kukauka kwa majani ya mikorosho litamfikia waziri wa kilimo  Hussein  Bashe  bila wasiwasi wowote kwa kuzungumza naye pamoja na kumrushia mahojiano aliyoyafanya na wakulima hao.

Wilaya ya Namtumbo ina jumla ya kata 21 na kati ya kata hizo ni kata 3  ya Magazini,lusewa na Msisima ndizo zinazolima zao la korosho kwa wingi katika wilaya ya Namtumbo .

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.