Baadhi ya wakulima wa mahindi wa kata ya Kigonsera Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma,wakimsikiliza Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula(NFRA)Kanda ya Songea Zenobius Kahere (hayupo pichani) kuhusiana na utaratibu mpya wa ununuzi wa mahindi ambapo mkulima anatakiwa kuyafanyia usafi na kuchambua mahindia mabovu kabla ya kupima.
Mahindi ya wakulima yakisubiri kupimwa katika kituo cha kupokea mahindi cha Kigonsera wilayani Mbinga.
4 Attachments • Scanned by Gmail
Mahindi ya wakulima yakisubiri kupimwa katika kituo cha kupokea mahindi cha Kigonsera wilayani Mbinga.
4 Attachments • Scanned by Gmail
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.