Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Andrew Mbunda amewataka walimu wanaojengewa uwezo wa mtaala mpya wa elimu msingi kushiriki kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wawezeshaji.
Mbunda ametoa rai hiyo wakati akizungumza na baadhi ya walimu wanaojengewa uwezo katika moja ya kituo cha mafunzo kilichopo Kata ya Maguu.
Amebainisha kuwa mafunzo haya ni moja ya utekelezaji unaofanywa na Serikali wenye lengo la kurahisisha utekelezaji wa mtaala huo ambao umeanza kutekelezwa rasmi Januari 2024.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.