Sekondari mpya ya Lusonga iliyojengwa katika Halmashauri ya Mji Mbinga,miongoni mwa sekondari mpya 11 ambazo serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa jumla ya shilingi bilioni 7.7 kujenga sekondari hizo mkoani Ruvuma kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya sekondari SEQUIP
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.