Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Tunduru kwa kuweza kufanya kazi nzuri ya hamasa ya kuandikisha wananchi katika orodha ya wapiga kura na maandalizi mazuri ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ujumla.
Ametoa rai kwa kila Halmashauri kuhakikisha wanahamasisha wananchi ili wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.