Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Kanali Thomas ametoa rai hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini mkataka wa ujenzi wa mradi wa maji katika manispaa ya songea. Ambapo serikali imetoa shilingi bilioni 145.77 ili kutekeleza ujenzi wa mradi huo ambao utajengwa kwa mienzi 32
“Kama tulivyo sikia kwenye taarifa kuwa mradi huu ukikamilika utapunguza kwa kiasi kikubwa upungufu wa upatikanaji wa maji katika mji wetu wa Songea rai yangu kwenu tuilinde miundombinu ya maji tusiwe sehemu ya kuhujumu mradi kwani huu unajengwa kwa ajili yetu sisi na sio watu wengine”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.