Wananchi 3,136 wa kijiji cha Litindo Asili kata ya Luangarasi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kimeanza kupata huduma ya afya kupitia zahanati na vifaa tiba ambavyo vimetolewa na serikali ya Awamu ya Sita .Ufunguzi rasmi wa zahanati hiyo umefanywa na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 60 zimetumika katika ujenzi wa zahanati hiyo na tayari serikali imeajiri watumishi wawili na vifaa tiba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.