Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaongoza wanawake wa Mkoa wa Ruvuma katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika viwanja vya bandari mjini Mbambabay wilayani Nyasa.Wanawake kutoka wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma wameshiriki kwenye maadhimisho hayo ambayo yamevutia wengi.Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu inasema Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia chachu katika kuleta usawa wa kijinsia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.