• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WASIMAMIZI wasaidizi wilaya ya Nyasa wapata mafunzo ya uchaguzi mkuu

Imewekwa kuanzia tarehe: August 9th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa leo tarehe 07.08.2020 imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi   Ngazi ya kata kwa Uchaguzi Mkuu  unaotarajiwa kufanyika 28  Oktoba,  2020.

Mafuzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Cassim Majaliwa ulioko katika Shule ya Sekondari Mbambabay,  Wilayani hapa,  na yametolewa na Msimamizi wa Uchaguzi  jimbo la Nyasa Ndugu Jimson   Mhagama ambaye pia Mkurugenzi Mtendaji wa Malmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Akifungua Mafunzo hayo  Bw. Jimson Mhagama amewataka wasimamizi hao kujifunza na kuelewa vizuri,  mafunzo kwa kuwa yanalengo la kuwajengea uwezo wa kufanya kazi kwa kujiamini, na kutekeleza ipasavyo  majukumu ya Usimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata.

Bw Mhagama ameongeza kuwa washiriki wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi wameteuliwa kwa kuaminiwa kuwa wanauwezo,  wa kusimamia majukumu haya ipasavyo,  hivyo wanakila sababu ya kujituma, kujiamini,  kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Sheria ya Uchaguzi, Maadili na Maelekezo ya Tume ya Uchaguzi ili kuweza kusimamia uchaguzi katika Maeneo yao.

“Ndugu washiriki mafunzo haya ni ya muhimu sana kwa kuwa yana lengo la kutujengea uwezo wa kutekeleza majukumu yetu katika kipindi cha uchaguzi hivyo tunatakiwa kuwa makini, tuyasikilize na tukayafanyie kazi kwa lengo la kutekeleza majukumu yetu ipasavyo.

Aidha amewaagiza wasimamizi hao wa Uchaguzi ngazi ya Kata, kuvishirikisha vyama vya siasa na wadau wa Uchaguzi kwa kila jambo , wanalotakiwa kushirikishwa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki. Pia aliwakumbusha wanatakiwa kuijua miundombinu yote katika maeneo yao na jinsi ya kuifikia kwa harak katika Vituo vyote vya kupigia kura ili watekeleze majukumu yao Vizuri.

Katika hatua nyingine Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata walipewa kiapo cha kutunza siri pamoja na Tamko la kujitoa uanachama wa chama cha siasa. Hii ni kwa matakwa ya Kanuni ya 16(1)(a) na 50(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge,2020 na Kanuni ya 14(1)(a), na(2) na 43(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) ikisomwa pamoja na Kanuni ya 16(1)(b) na (3) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge,2020 na Kanuni 14(1)(b) na (3) ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, (Uchaguzi wa Madiwani, 2020)

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.