Raia wa Tanzania hii leo wanaanza siku tatu za maombi ya kumshukuru Mungu baada ya Rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli kusema maambukizi ya Covid-19 nchini humo yamepungua.Hii inafuatia ushauri wa Rais Magufuli alioutoa alipokuwa wilayani Chato mwishoni mwa juma aliwataka raia wa Tanzania kutumia siku tatu hizi, kuanzia Ijumaa mpaka Jumapili wiki hii kumshukuru Mungu kwa kuitikia maombi ya kuliepusha taifa na janga la Covid-19.
SOMA habari kwa kina hapa https://www.bbc.com/swahili/habari-52770638
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.