MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaagiza watendaji wote ngazi ya wilaya na Halmashauri zote nane mkoani Ruvuma kuhakikisha kuwa ndani ya siku 90 watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano wanasajiriwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa.Soma habari kwa kina hapa https://wazo-huru.blogspot.com/2020/03/tutawasajili-na-kuwapatia-vyeti-vya.html
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.