Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Bw.Khalid khalif (katikati) akiwaongoza watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kufanya usafi wa mazingira katika Fukwe za Mbamba bay.
Amewataka wananchi kuendelelea kufanya usafi na ili mwambao mwa ziwa Nyasa na Wilaya nzima iwe katika Hali ya Usafi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.