Pichani ni Baadhi ya Wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambao yamejitokeza katika zoezi la upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza, shinikizo la juu la damu(BP), kisukari, uzito ukilinganisha na urefu.
Zoezi hilo linatekelezwa na Wataalamu wa Sekta ya Afya ngazi ya Mkoa, ambapo wameanza kutoa huduma ya upimaji kuanzia tarehe 9 hadi 10 Novemba 2023 katika viunga vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.