Kulia ni Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akivishwa taji na mmoja wa watumishi wa RS Ruvuma baada ya kuwasili na kuanza kazi rasmi katika kituo chake kipya cha kazi ambapo watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kusailimiana naye na wameahidi kumpa ushirikiano wa kutosha katika utendaji kazi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.