wanahitaji tani milioni moja za mahindi kwa mwaka
MILANGO ya uwekezaji mkoani Ruvuma imefunguka baada ya wawekezaji kwenye sekta ya kilimo kutoka nchini Misri kuwasili mkoani Ruvuma.
Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza katika zao la mahindi ya njano ambapo kwa mwaka wanahitaji mahindi ya njano zaidi ya tani milioni moja.Hii ni fursa kubwa kwa wakulima.
Wawekezaji hao tayari wametembelea wilaya za TUNDURU,Namtumbo na Songea ambako wamejionea fursa mbalimbali za Uwekezaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.