Pichani: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akisalimiana na wazee pamoja na Viongozi wa dini waliojitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura Mtaa wa Mahenge Kata ya Mjini Manispaa ya Songea .
Lengo la kujiandikisha ni kuwawezesha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.