• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAZIRI Bashe atembelea maghala ya uhifadhi wa mbolea Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: September 22nd, 2024

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe. Wilman Ndile na kutembelea maghala mbalimbali ya uhifadhi na uuzaji wa mbolea yaliyopo Songea mjini.

Dhumuni kuu la ukaguzi huo kuona utararibu wa bei za jumla kabla ya gharama za usafiri. “Naielekeza Mamlaka ya Udhibitj wa Mbolea (TFRA) kuhakikisha inatoa mwongozo wa bei za jumla na reja reja kwenye kila kituo kinachouza mbolea nchini,” amesema Waziri Bashe.

Vile vile, Waziri Bashe ametembelea ghala la Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) lililokarabatiwa kwa ajili ya kuhifadhi na kuuza mbolea za kupanda aina ya DAP na za kukuzia mazao aina ya UREA. Ghala linapatikana katika eneo la viwanda la Ruhuwiko, Songea mjini. Ghala lina ukubwa wa uwezo wa square metre 5000, kwenye ekari 16 na lina uwezo wa kuhifadhi tani 20,000 za mbolea. Ghala hilo litatoa huduma katika Mkoa wa Ruvuma na Wilaya zake zote.

Kwa nyakati tofauti, Waziri Bashe ameongea na Wafanyabiashara kujadiliana nao mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja ba bei wanazouza kwa wakulima. “Nashauri mkae pamoja kuwa na uwiano wa bei ambayo haimuumizi mkulima na pia iwe bei yenye gharama za uhalisia,” amesema Waziri Bashe.

Kuhusu viuatilifu, Waziri Bashe ameielekeza Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kuhakikisha viuatilifu vinasambazwa nchini na kuimarisha mfumo wa kanzidata kuongeza kuwe na taarifa ya muuzaji na mnunuaji (traceability) na kuweka QR Code kwenye kila chupa / bidhaa.

Wafanyabiashara hao ni wa Mkoa wa Ruvuma, katika mauzo ya mbolea na mazao mbalimbali yakiwemo mahindi. Aidha, Waziri Bashe ameomba wadanyabiashara hao endapo wapo tayari wajenge maghala ya tani elfu moja moja ndani ya Mkoa wa Ruvuma, ambapo Wizara itaingia nao mikataba kupitia Taasisi yake ya Wakala wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kukodi kwa ajili ya kuhifadhi nafaka hadi ata miaka 10.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.