Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa akikagua daraja la Ruhuhu linalounganisha wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.
Daraja hilo ambalo limekamilika kwa asilimia 100 lına urefu wa meta 98 na limegharimu zaidi ya shilingi bilioni tisa.
Waziri wa Ujenzi yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya kukagua barabara na madaraja.
Pichani wa kwanza kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.