Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi katika Kata ya Mchoteka Jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma.
Katika uzinduzi huo maelfu ya wananchi wakiwemo wanachama wa CCM walijitokeza kwa wingi kwenye kampeni hizo ambazo zinaendelea nchini kote hadi Novemba 26 mwaka huu.
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika nchini kote Novemba 27,2024
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.