WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza ubora wa miradi ulingane na tjhamani ya fedha.Ametoa maagizo hayo wakati anazungumza na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma siku ya mwisho ya ziara yake katika kiwanja cha ndege cha Songea ambacho kinakarabatiwa kwa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 37.TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=lyyho4WxIjY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.