WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amemmwagia sifa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma Grace Quentine kwa kusimamia vema miradi ya maendeleo katika Halmashauri hiyo ikiwemo jengo la Halmashauri ya mji wa Mbinga lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=9ChMQWt91NY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.