MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaongoza wakazi wa Songea kumpokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Songea.
Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma kushiriki Jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji Jimbo la Songea inayofanyika katika Abasia ya Peramiho Oktoba Mosi 2023
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.