Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Songea mjini Dkt Damas Ndumbaro ameungana na Wakristo Mjini Songea Kusali Misa ya Krismas, Katika kanisa lKuu la kiaskofu Mt.Mathias Kalemba Jimbo kuu Katoliki la Songea.
Mheshimiwa Ndumbaro alipata nafasi ya kuwasamia waumini na Wananchi wa Songea ambapo amewatakia heri ya sikukuu ya Noeli huku akiwaasa washerehekee kwa amani na utulivu.
Amewasisitiza Wazazi na walezi katika sikukuu ya Krimasi wakae na familia zao majumbani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.