Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji Mheshimiwa Hussein Bashe ameagiza kuvunjwa mkataba na Mkandarasi JV aliyekuwa anajenga skimu ya Umwagiliaji katika kijiji cha Muhukuru Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 900.
Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Waziri Bashe amemtaka Mkandaras huyo kuandika barua ya kushindwa kazi na ndani ya siku 30 atafutwe Mkandarasi mwingine mwenye uwezo wa kufanya kazi ndani ya mkataba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.