WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea mjini Dkt.Damas Ndumbaro amehesabiwa yeye na familia yake nyumbani kwake Mahenge mjini Songea na kutoa rai kwa wananchi ambao bado hawajahesabiwa kujitokeza na kutoa ushirikiano kwa makarani wanaopita kwenye nyumba zao ili kuhesabiwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.