Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuzungumzia kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo katika maeneo yao. Kikao hicho cha Kimakakti kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa jijini Dodoma tarehe 7 Februari, 2024
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.